Blogger Widgets

June 6, 2013

Check Maandalizi ya Kuagwa kwa Mwili wa Albert Mangwea Kwenye Viwanja Vya Jamuhuri Mjini Morogoro


 Huu ni uwanja wa Jamhuri Morogoro ambapo wakazi wa mkoa wa Morogoro na jirani wataweza kuaga mwili wa marehemu Mfalme wa FreeStyle Albert Mangwair, Kisha kumpeleka kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele
From:GPL