Blogger Widgets

June 5, 2013

Check Picha Za Upande Pili Jinsi Maandalizi Yanayofanyika Huku Morogoro kwa Ajiri ya Kupokea Mwili wa Albert Mangwean Dodoma

 Wageni waliofika msibani Morogoro kwa marehemu Mangwea.
 Masufuliya ya chakula kwa watu waliokuwepo msibani morogoro.
 Wakipanga jambo kutokana na eneo la nyumbani kwao marehemu Mangwea kuwa padogo.
 
From:Bongoclanz