Blogger Widgets

June 3, 2013

Exclusive From Sammisago:Hili Ndio Kundi Ambalo Lilitakiwa Kuja Kutambulishwa na Marehemu Albert Mangwea, "DangerVuu Music"


Msanii wa Bongo Fleva Mirror leo ameiambia sammisago.com  kuwa Ngwear alikuwa na mpango wa kuanzisha Kundi la DangerVuu Muisc Ambalo lingekuwa na Ngwear, Mirror na Jordan Da Prince ambaye ni mdogo wake Dark Master. Idea ya kundi ilikuwa ya Ngwear na
Mpango wa Kundi hili ulikuwa kumtambulisha Jordan na kutambulisha project yao mpya waliyoifanya Mj Records Kwa Marco Chali. Verse ya Kwanza amefanya Jordan, Pili Mirror na Tatu amemaliza Ngwear. Jamaa ananiambia Ngwear alikuwa hapendi kuona under groud mwenye uwezo anapigika mtaani so alikuwa wazi sana kwenye kutoa msaada kwa msanii anaye chipukia ndio maana alifanya collao na Under Grounds.