Blogger Widgets

June 7, 2013

Exclusive:Check Picha za Maandalizi ya Steji Inavyotengenezwa Kwa Ajiri ya Tuzo za Kill Music Award Ndani ya Mlimani City

Kesho ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA watajua hatma yao. Tuzo za Kili zitatolewa kesho June 8 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Hizi ni picha za jinsi maandalizi ya jukwaa na ukumbi yalipofikia.
IMG_0728
Mafundi wa TV itakayorusha matangazo live wakiweka sawa mitambo yao

IMG_0730
Sound check

IMG_0734
Hivi ndivyo maandalizi yanavyoendelea

IMG_0739
IMG_0750
Muonekano wa nje ya ukumbi

IMG_0718