Blogger Widgets

June 2, 2013

Hatimaye Lady Jay Dee Atangaza Siku ya Show Yake ya Miaka 13 ya Lady Jay Dee

DIARY YA LADY JAY DEE (03:00Usiku) Ukurasa wa leo anatokea mkali Proffesa Jay, Unataka kufahamu Lady Jay Dee anakwenda kufanya mchongo gani naye?

Katika ukurasa huu hu pia anatokea Chidi Benz na wengine pia, Fuatilia hapa kila kitu ambacho wanakifanya na Binti Commando na uweke maoni yako hapa.

#TEAMANACONDA mpango ndio huu.
Hatimaye Lady Jay Dee Ataja tarehe ya show yake ya miaka 13. Ni tarehe 14 June 2012.

"Long week end 13th June Mahakamani, 14th June Miaka 13 ya Jide. 15th June Bday ya Jide....it's June, ni mwezi wangu. #Team Gemini/Anaconda"