Blogger Widgets

June 29, 2013

Haya Matusi Ya Ney wa Mitego Aliyomtukana Pancho la Tino wa B HITS Sijui Ndio Inamaanisha Nini 
Ney wa mitego aiingia tena ndani ya bifu juu ya kumuita PANCHO kuwa ni Shoga....Kupitia accounti ya linnah ya instagram... Pancho aliweka picha yake ambayo alikuwa amepiga na linnah ikiwa ametopoa kipini jichoni...
Ney wa mitego ndipo alipotupia comment na kusema "katoboa jichoni dah..ushoga unaanzaga ivyo ivyo...mamamaeee watoto malimbukeni nyie .alafu kajichubua duh..."
MENGINE MUACHIE BABA NA MAMA.....
Cheki comment zake hapo chini