Blogger Widgets

June 15, 2013

Hii Ndio Kauli ya T.I.D Kwa Ommy Dimpoz Baada ya Kutoa Kauli ya Kashfa kwa The Late Albert Mangwea

Hawa watoto wadogo wanakuja na kandambili kuomba kuimba sasa hivi wanajifanya wao wanazo hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu Albert wallahi mungu 
atamlaani.........mshenzi mkubwa na nikikuona nakupiga.
"Hicho ndicho alochokiandika TID aka mnyama kwenye kupitia ukurasa wake wa facebook"