Jana Ilikuwa Ni Happy Day Kila Kona:Check Picha Mbali Mbali za Tamasha la Nyama Choma – Viwanja vya posta Kijitonyama Dar
Lile
tamasha kubwa la Nyama Choma, jana lilifanyika kwa mara nyingine kwenye
viwanja vya posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kufanikiwa kwa
kiasi kikubwa. Hizi ni baadhi ya picha za jana.
No comments:
Post a Comment