Blogger Widgets

June 3, 2013

Kutoka Kwa Sam Missago:Muonekano wa Ghetto na Muoneakano Mzima wa Nyumba Aliyokuwa Anaishi Marehemu Albert Mangwea Sinza

Nilikuwa na Msanii Mirror, Muro na Jordan kwenye Nyumba aliyo kuwa anaishi Rapper Ngwear, Ipo Sinza Jijini Dar es salaam. Kwenye hii nyumba alikuwa anaishi na Manager wake Muro, Mirror na Jordan Da Prince Ambaye ni mdogo wake Dark Master. Jordan aliletwa na kutambulishwa kwa Manager Muro kama msanii na Ngwear, iliaweze kusaidiwa katika kazi zake za mziki.


Hii Play Station Ipo Ndani Ya Nyumba AliyoKuwa Anaishi Ngwear. Jordan anasema Ngwear alikuwa anapenda sana Video Games na Muda wake mwingi akiwa Nyumbani aliutumia Kucheza Game Kama AND 1, Fifa Na God Of War- Mission  

Mlango Wa Chumba Cha Albert Mangweha, Mwenye Nyumba Hajaruhusu Mtu Ndani Ya Chumba Hichi Toka Ngwear Afariki. Amesema Kuna Vitu Vya Ngwear atakavyo kabidhi kwa Familia Yake.
Huyu mdogo wake Dark Master, Ni msanii anaye chipukia. Anatumia Jina La Jordan Da Prince.SAMISAGO     From Sammissago















 

No comments:

Post a Comment