Blogger Widgets

June 5, 2013

Kutoka Viwanja Vya Leaders Club Mwili wa Albert Mangwea Ukiwa Unaingia Tayari kwa Kuagwa na Ndugu na Jamaa 
 Mda huu ndio watu wanaingia taratibu taratibu kuja kutoa heshima zao za mwisho.. nitakuwa nikiwapa matukio haya LIVE mpaka safari ya Morogoro itakapokuwa tayari.