Blogger Widgets

June 1, 2013

Mcheck Jinsi Mtoto wa Msanii Kajala Aliyezaa na P Funk Majani Alivyokuwa Mkubwa

Anaitwa Paula mtoto wa mama mwenye talent na baba mwenye talent, so vipi kuhusu mtoto?. Ofcoz hawezi kukosa kuwa na kipaji na yeye pia. Baba yake ni famous producer P Funk na mama yake ni one of the best actress hapa bongo..swali la kizushi ni kwamba atafuata music kwa baba au movie kwa mama.?1.. 1 Screenshot_2013-6-1 0.41.53
Picha zaidi hapa
23Screenshot_2013-6-1 0.33.49