Blogger Widgets

June 6, 2013

Muonekano wa M2 The P Baada ya Kufika Morogoro Kwenye Mazishi Hii ni Kabla ya Kuuaga Mwili wa Marehemu Albert Mangwea


Huyu ndiye M 2 THE P ambae kwa wengi walikua hawamfahamu vizuri na mchana huu ndio ameingia Morogoro hapa ni nyumbani kwasasa bado watu wanaaga mwili wa Ngwair. Karibu nyumbani 
M 2 THE PHapa katika Picha nyingine

  Picha Nyingine kwenye Pozi LingineJinsi alivyokua anakubalika inaonekana wazi kutokana na uwingi wa watu waliojitokeza kushiriki shughuli za msiba kuanzia mapokezi yake kule airport Dar es salaam mpaka huku nyumbani Morogoro ambako ndio leo atapumzishwa katika nyumba yake ya milele. Mungu amlaze mahali pema peponi....


Nawaona Ommy Dimpozi akiwa na Diamond Platnumz


Vanessa Mdee mwenye njano na Dyna katikati tukiwa msibani