Blogger Widgets

June 5, 2013

Mwili wa Albert Mangwea Ukiwa Umeshawekwa Mbele ya Umati Tayari kwa Kuagwa Ndani ya Leaders Club

 
 Gari lililobeba Mwili wa Marehemu Albert Mangwea likiwa limeshawasili katika viwanja vya leaders tayari kwa wakazi wa jiji la Dar kutoa Heshima zao Za Mwisho Kabla ya Mwili Kusafirisha Mkoani Morogoro kwaajili ya Mazishi
 Baadhi ya Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wana kamati wakijiandaa kuteremsha jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Albert Mangwea katika viwanja vya Leaders muda huu aliyefariki hivi karibuni Nchini Afrika Kusini
Baadhi ya Ndugu, Jamaa na marafiki wa karibu sana na Marehemu Albert Mangwea wakiwa katika sura za majonzi katika viwanja vya Leaders muda huu
Sasa ni mda wa kuanza kutoa heshima ya mwisho kwa ndugu yetu Albert Mangweha hapa Leaders Club
Sasa ni mda wa kuanza kutoa heshima ya mwisho kwa ndugu yetu Albert Mangweha hapa Leaders Club