Blogger Widgets

June 1, 2013

Mwili wa Marehemu Albert Mangwea Kufika Jumanne Wiki Ijayo na Sio Kesho Kama Ilivyokuwa Umepangwa

 

Ni uhakika kwamba mwili wa Marehemu Albert Mangwea utaingia Dar es salaam wiki ijayo jumanne saa nane mchana kutokea hapa Johannesburg, unaweza kushea hii post mtu wangu na wengine wapate taarifa
From Millard Ayo