Blogger Widgets

June 1, 2013

Ngoma Mpya Kabisa ya #TEAM DIGITAL VIBE,Belle 9,MC KOBA na Wengine.Mwimbo wa Kumuenzi Marehemu Albert Mangwea


Kufuatia kifo cha ndugu yetu marehemu Albert Mangair,timu nzima ya Digital Vibes watoa wimbo wa kumuenzi msanii huyo katika wakati huu mgumu wa maombolezo.Ndani humo yumo Belle9,Counscious,Kacci,MC Koba,, Fredrick Mulla, Stone And Prince S.A.B,all the way from moro town