Blogger Widgets

June 10, 2013

Picha Ikimuonesha P FUNK MAJANI akiwa Kaenda Kumjulia Hali M2 THE P,Msanii aliyekuwa na Marehemu Albert Mangwea

 

Leo P Funk Aamua Kwenda Kumtembelea M2 THE P Msanii aliyekuwa kwa Mara ya Mwisho na Marehemu Albert mangwea Huku South Africa Ambapo Ndio Mauti yalimkuta Huko.
Pfunk Majani ni Mtu Ambae Anaonekana Bado Ana Hisia Kali Juu ya Matatizo yaliyowakumba M2 THE P na Marehemu Albert Mangwea ambaye Alizikwa Hizi Karibuni Huko Morogoro.

MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI.
AAMEN!!