Blogger Widgets

June 15, 2013

Picha Ikionesha Jinsi Mamia wa Watu Walivyofungiwa Geti Baada ya Watu Kujaa na Kufurika Kwenye Show Ya Lady Jay Dee

                                                     NeverHappenedPLANET BONGO (4:00 Asubuhi) Hii haijawahai kutokea, watu kujaa hadi wengine kukosa nafasi ya kuingia ndani na kurudi nyumbani, ndiyo kilichotokea kwenye show ya Lady hapo jana.

Nini maoni yako?
#RIPLanga