Blogger Widgets

June 1, 2013

Picha Mbalimbali za Ndoa na Harusi Ya Msanii J Martin Iliyofungwa Kimya Kimya
                                             
Msanii na produza maarufu J Martins (Jina lake halisi: Martins Okey Justice) amefunga ndoa ya kisirisiri na mpenzi wake aitwaye Nnezi Mbila baada ya kufunga ndoa ya kimila mwezi januari. ndoa hiyo ilifunga tarehe 30 /5/2013
J-MARTINS & NNEZI

WEDDING CAKES

EFEMENA TOMMY
J MARTINS, AZUKA, NNEZI & JOY EJIRO

SYLVIA NDUKA & JOJO LARA

KONKO BELOW..................


COUPLE & MD, DIAMOND BANK PLC
 
From:Pro24