Blogger Widgets

June 10, 2013

Picha Mbalimbali za Uzinduzi wa Video ya Majanga ya Snura

 
 
Snura akionyesha uwezo wake wa kuzungusha nyonga.
 
…Akinengua na wacheza shoo wake.
 
Tunda Man akionyesha uwezo wake.
…Akicheza na mmoja wa mashabiki zake.
 
Ally Nipishe akiwajibika jukwaani.
 
Samir akipagawisha jukwaa.
 
 Ally Baucha akiwa kazini.
 
Msanii mpya anayeiga swagger za marehemu Sharo Milionea akipagawisha jukwaa.

                                                
Menina akicheza na mmoja wa mashabiki zake.
SHOO ya uzinduzi wa video ya wimbo wa ‘Majanga’ wa msanii wa kizazi kipya, Snura Mushi, usiku wa kuamkia leo ilifana vilivyo ndani ya New Maisha Club kwa kuonyesha uwezo wa majanga yake katika kuzungusha nyonga.  Shoo hiyo ilisindikizwa na wanamuziki Tunda Man, Ally Nipishe, Ally Baucha, Menina, Samir na Sharo Swagger

From:GPL