Blogger Widgets

June 6, 2013

Picha Mbalimbali zakionesha Jinsi watu Walivyokuwa Wamepanga Foleni Sana Kwa Ajiri ya Kuuaga Mwili Wa Marehemu Kabla ya Shughuli za Kuaga Kusitishwa Muda Mfupi Uliopita
Hii ni kwenye mlango wa kuingia uwanja wa Jamuhuri kuuaga mwili wa Marehemu Ngwea
 

Morogoro
.

                         
 mtangazi wa skonga cha EATV akiwa uwanjani  
 Wananchi waliojitoka uwanjani
                                     Huyu nimmoja kati ya walipoteza fahamu uwanjani
                                               mama mzazi wa marehemu mangwair
                                           dada na mama wa marehemu mangwair
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akiwasili nyumbani kwa Mama mzazi wa Mangwea.zoezi la uuagaji wa mwili ukiendelea
Rafiki wa wa karibu wa marehemu Albert Mangwea aliyekuwa amelazwa nchini Afrika Kusini amerejea Tanzania na yuko njiani akielekea mkoani Morogoro kwaajili ya kushiriki mazishi ya swahiba wake Mangwea jioni ya leo


M2DA P akilia kwa uchungu baada ya kuuona mwiili wa shahiba wake