Blogger Widgets

June 15, 2013

Picha ya Miss TZ Iliyokuwa Akifichwa Fichwa Akiwa Kapiga Picha ya UTUPU huku akiwa Kitandani Sio Siri Tena

 
Haikuweza kufahamika mara moja za sababu za yeye kupiga picha hizo na jitihada za kumtafuta zinaendelea ili aweze kuzifungukia

Miss Dar Indian Ocean ambaye ni Miss Kinondoni namba 2 mwaka jana, Diana Hussein (pichani) hivi karibuni amejikuta akipata aibu baada ya picha yake ya utupu kuvuja, Amani linayo kibindoni.


Picha hiyo inayomuonesha Diana akiwa matiti nje, imesambaa kwenye mtandao wa simu wa BBM huku baadhi ya watu ‘wakifoadiana’. 
Baadhi ya marafiki wa mrembo huyo walisema kuwa wameshangaa kuiona picha hiyo kwani kwa wanavyomjua hawakutarajia.


Akiizungumzia picha hiyo, Diana alisema aliipiga kwa matumizi yake binafsi ila akashangaa kuona imesambaa mtandaoni.
Wakati Diana akiteswa na skendo hiyo, Miss Rukwa namba 3 mwaka jana, Vency Edward naye amefuata mkumbo baada ya picha zake za utupu kunaswa.

Picha hizo kama ilivyo kwa Diana, zimezagaa kwenye mtandao wa BBM na zinamuonesha ameshusha gauni lake hadi kiunoni na kuliacha eneo la juu wazi

No comments:

Post a Comment