Blogger Widgets

June 6, 2013

Picha za Majonzi Zikimuonesha Msanii Khadija Kopa Akilia Kwa Uchungu Huku Akisindikizwa Kuelekea Uwanja Wa Ndege Kuja Msibani Baada ya Kufiwa na Mume WakeBaadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana. (Picha na ofisi ya Makamu wa Rais)