Blogger Widgets

June 5, 2013

Picha za Mastaa Wote Wa Bongo Wakiwa Wamepanga Foleni Kwa Ajiri Ya Kwenda Kuuaga Mwili wa Marehemu Ndani ya Viwanja Vya Leaders
Dah this is it ndugu yetu mpendendwa ndo ametangulia mbele za haki na sasa ule muda wa kutoa heshima za mwisho ndo umewadia. Mungu awape nguvu wale wote waliofikwa na msiba huu. Image credit DJ ChokaMwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho


Umati wa watu wakiwa wamepanga mstari tayari kwa kwenda kuaga huku kikosi cha msalaba mwekundu na polisi kikiwa stand by just incase anything happens. Sasa naskia watu badala ya kwenda na kuaga wao wako busy wanapiga picha kha hizi teknolojia aiseee tutajutaaaa 

Baadhi ya ma super star wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga.