Blogger Widgets

June 14, 2013

Picha Zikimuonesha AY akiwa LONDON kwa Ajiri Ya Traffic Light Party

Rapper AY yuko nchini Uingereza kwa ajili ya show inayofanyika kila mwaka Tanzania na Uingereza "Traffic Light Party" ambayo inatarajiwa kufanyikasiku ya kesho tarehe 15 June, ndani ya Club Laface, London