Blogger Widgets

June 17, 2013

Picha Zikionesha Jinsi Machangudoa walivyokamatwa na Polisi Ndani ya Uwanja wa Fisi

Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria


No comments:

Post a Comment