Blogger Widgets

June 7, 2013

Picha zikonesha Heka Heka Iliyotokea Manzese Baada ya Jamaa Mmoja Kukutwa Kafia kwenye Gesti Bubu Moja Inayoitwa"URODA GEST HOUSE"


Difenda  ya  polisi  ikiuchukua  mwili  wa  marehemu...

Mwanaume mmoja ambaye hakujulikana jina lake leo amekutwa amekufa katika gesti bubu iitwayo Uroda iliyopo Manzese Midizini jijini Dar. 


Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa eneo la tukio ni kwamba marehemu alikuwa na mpenzi wake ambaye waliingia wote katika gesti hiyo lakini alikutwa jamaa peke yake.

 Mwili wa marehemu umepelekwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.