Blogger Widgets

June 5, 2013

Picha Zote Jinsi Mwili wa Albert Mangwea Ulivyopokelewa Nyumbani Kwao Morogoro.

Msafara wa kupokea mwili wa msanii  marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa umejitokeza katika mapokezi hayo jioni ya leo

 
 MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA ENEO LA MAZIMBU ROAD KIHONDA.