PICHA:Jinsi Diamond Platnum Alivyopokelewa Nchini Comoro.More Swagg....AMAZING
Dimond
Platnumz na crew yake ya Wasafi wamewasili nchini Comoro jana jioni
tayari kwa makamuzi ya show itakayofanyika leo Jumamosi (June 22).
Kupitia website yaye Platnumz ameweka picha za mapokezi yake na Wasafi jana jioni walipowasili Comoro
Diamond Platnumz akifanyiwa mahojiano na kituo cha TV cha Comoro
No comments:
Post a Comment