Blogger Widgets

June 1, 2013

Prezoo Leo Asisitiza Kupitia Mtandao wake wa Twitter Kumsupport X Girlfriend Wake The Lady Boss Huddah Kubaki BBA.


The Prezidaa CMB Prezzo ambae alikuwa mshiriki wa shindano la Big Brother Africa msimu uliopita amejiunga na project ya watu wanaompigia debe the boss Lady toka Kenya Huddah Monroe ambae alikuwa mpenzi wake ili asitoke kwenye jumba hilo wiki hii.

Prezzo ameitumia akaunti yake ya twitter kujiunga na kile kinachofahamika kama #ProjectSaveHuddahMonroe na yeye ameandika tweet inayosomeka, “ SMS the Word VOTE HUDDAH to 22626 #ProjectSaveHuddahMonroe.”

Akatupia tweet nyingine kuwahamasisha zaidi wakenya wawe na khari zaidi, “That’s the spirit 254#LetsGo!RT@MilGoddie: Its HUDDAH or Nothing @AMB Prezzo_”

Inawezekana pia Prezzo akawa anarudisha fadhira kwa X girlfriend wake huyo kwa kuwa alimsaidia pia wakati akiwa katika jumba hilo kuongeza kura za kumuweka katika nafasi nzuri zaidi. 
 
Huddah, Selly, Denzel, Betty na Natasha wako katika hatari ya kuondoka katika jumba hilo wiki hii, kura za watazamaji ndizo zitakazomuokoa mshiriki ama zisipotosha anaondoka.
video bafuni ndani ya jumba la big brother