Blogger Widgets

June 17, 2013

Shuhudia Picha 9 za Sisiter Duu aliyechizika Baada ya Kuzidisha Pombe Huko Mbagala Zakheim na Kuanza Kuvua Nguo HadharaniDADA mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulukana mara moja aliuacha hoi umati wa watu walikuwa kwenye baa moja hivi (jina kapuni) huko mbagala Zakheim mara baada ya kuvua nguo zote na kubaki uchi wa mnyama na hivyo kusababusha hali ya taharuki katika maeneo hayo.

Chanzo chetu zha karibu kinadai ya kuwa dada huyo alifika maeneo hayo akiwa vizuri kabisa na hali hiyo ambayo ilionekana kuwa si ya kawaida ilianza pale alipoanza kuzitiririssha bia nyingi mno ambazo alikuwa akihongwa na vijana ambao alikuwa amekaa nao mezza moja..
.