Alichukuwa miezi minne kwa timu ya Beyonce kuwatafuta vijana hawa baada ya kuona video yao kwenye youtube.
Chini ni video iliyomfanya Mrs Carter awatafute kwa bei yoyote vijana hao
Hivi sasa beyonce na Tofo Tofo wapo mjini Stockholm kwenye Mrs Cartour Tour Angalia video hapo chini
From:Jestina George
No comments:
Post a Comment