Blogger Widgets

June 6, 2013

Tazama Picha Jinsi M2 THE P alivyokuwa Analia Kwa uchungu wakati Anaaga Mwili Uchuwa Rafiki Yake Albert Mangwea Huko Morogoro Muda Huu

 
M2  THE P amefanikiwa  kutoa  salamu zake  za  mwisho  kwa  rafiki yake  kipenzi  ambaye  alikuwa  naye  huko  Afrika  kusini  tena  walikuwa  ndani  ya  chumba  kimoja  kabla ya  mauti  kumkuta Ngwea....!!

Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa  amefichwa  na  kudanganywa  kuwa  Ngwea  alikuwa  ametangulia  Tanzania. Baadaye  Maggie  alilazimika  kumweleza  ukweli......
d