Blogger Widgets

June 22, 2013

Tha Boss Lady Huddah Mshiriki wa BBA na Demu wa Prezoo Huyu Hapa Misele Mpaka Bongo na Kutua Ndani ya Jiji la Dar


Aliyekua mmoja wa wawakilishi wa Kenya katika BBA The Chase, mrembo Huddah Monroe (The Boss Lady) anatua Dar es Salaam, Tanzania ku-host party ya “Mid Year Bash” siku ya jumamosi tarehe 29/june/2013. BASH hilo litafanyika ndani ya ELEMENTS LOUNGE, na limedhaminiwa na Unity Entertainmen, Heinneken, na Vocacom.....Watu wengi wanajiuliza itakuwaje pale watakapo kutana na Diva loveness ambae wamekuwa na beef kwenye mitandao wakimgombea Prezzooo...Aka the boy is Mine
TOA MAONI YAKO HAPA