Blogger Widgets

June 27, 2013

Video Ikionesha Jinsi Mshiriki wa Kike wa BBA Feza Kessy Uzalendo Unavyozidi Kumshinda na Kupigwa "Romance" Live na Mshiriki Kutoka Botswana


baada ya nando na selly kuvunja amri ya 6 mjengoni swali linakuja jeeeeee, Feza nae atavunja amri ya sita na o'neal????? maana inasemekana yupo kwenye penzi zito na O'neal wa Botswana, kafa kaoza na haskiii wala haoni, wanalala kitanda kimoja na kuamka wote, ma'denda' na ma hugs kwa sana mweeee!!!! sie ye2 machooo!!!! maana kwa nando mnachekelea je kwa feza mtachekelea ivoivooo????

 click Hapa

No comments:

Post a Comment