June 8, 2013
Wengi Walivyosikia Hii Taarifa Walifikiri Utani Sasa SHUHUDIA HAPA VIDEO MBILI FUPI ZA SAMAKI MTU WA KIKE ALIYEONEKANA HUKO ISRAEL
Hivi
majuzi huko Kiryat Ya,Israel baada ya watalii waliokuwa pembezeno mwa
bahari hiyo kumuona nguva(SAMAKIMTU) akiwa juu ya mawe. Kutokana na
habari hizi kuenea watalii wengi wamekuwa wakimiminika huko Israel
wakiamini labda nawao watamuo.
UMEICHUKULIAJE: |