Blogger Widgets

July 18, 2013

Check Futuru aliyoindaa JAY MOE star aliyekuwa na Makuzi Ndani ya Sinza Lion

From CHOKA
Leo jioni nilipata mwaliko wa kwenda kufuturu kwa msanii wa hip hop nchini anajulikana kwa jina la JAY MOE maeneo yake ya Sinza Lion. Nikaona sina budi kuwaonjesha japo kidogo kwa picha, aliawaalika washkaji kibao wakiwemo wasanii wenzake kutoka Wateule.


 Jay Moe akiwashughulikia wageni aliowaalika..

 Jaffaray