Blogger Widgets

July 29, 2013

Check Gari ya T.I.D Iliyoibiwa Power Window Jana na Kudai Aliyemuibia Anamfahamu

 
Gari la TID baada ya kuibiwa vifaa.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Khaleed Mohamed 'TID', usiku wa kuamkia JANA ameibiwa vifaaa mbalimbali katika gari lake ikiwemo power window. Kupitia akaunti yake ya Facebook, TID ameandika kuwa mtu aliyemwibia atakuwa anamjua na akaahidi kutoa shilingi laki mbili kwa mtu atakayemtajia mwizi wake ambapo ametoa na namba yake ya simu.

 
Alichokiandika TID katika akaunti yake ya Facebook.
 
Khaleed Mohamed 'TID'.