Blogger Widgets

July 1, 2013

Check List ya Washindi wa BET Awards


Usiku wa kuamkia leo kulifanyika ugawaji wa tuzo za BET Awards 2013 katika jiji la Los Angeles huko nchini marekani.Baadhi ya wasanii walioteuliwa kutumbuiza ktk show hiyo walikuwa kivutio sana kiasi kwamba mashabiki waliohudhuria hapo walishindwa kujizuia na kujikuta wakipiga mayowe mda wate ambao wasanii hao walikuwa wakitumbuiza,wasanii hao ni pamoja na Chris Brown , Miguel , J. Cole, Kendrick Lamar, 2 Chainz, Pharrell , Nicki Minaj na zaidi, wote hao mwenyeji wao alikuwa  Chris Tucker .

Kama ulipitwa basi si mbaya yafuatayo ni majina ya  washindi wa tuzo hizo.Tazama orodha hapo chini ili ujue nani aliibuka mshindi kwenye kila category.

Centric Award: Tamar Braxton

Best Male R&B/Pop Artist: Miguel

Best New Artist: Kendrick Lamar

Young Stars Award: Gabrielle Douglas

Best Gospel Artist: Mary Mary

Best Actor: Jamie Foxx

Best Female Hip-Hop Artist: Nicki Minaj

Best Male Hip-Hop Artist: Kendrick Lamar

Lifetime Achievement Award: Charlie Wilson

Best Collaboration: A$AP Rocky's "Fuckin' Problems" f/ Drake, 2 Chainz, and Kendrick Lamar

Humanitarian Award: Dwayne Wade

Fandemonium Award: Chris Brown

Viewer's Choice Award: Drake - "Started From The Bottom"

Best Movie: "Think Like A Man"