Blogger Widgets

July 18, 2013

Check Picha 65 Zikionesha Jinsi Watu Mbalimbali Walivyokusanyika Nyumbani kwa Diamond Platnum Kupata Futulu
Mwengi Ally Shem Lake akisababisha mambo jikoni.....

Esmah Khan mwenyewe....


Recho kizungu zungu akishugulikia mahanjumati....

Dada zangu hao wawili wakishugulika......Watoto wa kimanyemaVyanda vyandani sasaaa....

Bi Sandrah akiweka sawa vitu......

Uncle Micky & Uncle Salu

Story mbili,tatu zikiwa zimekolea huku muda wa kufturu ukisogea...

Mucki akicheka mwenyewe baada ya Adhana kuadhiniwa....

Kisula nae...hadi muda wa futari we bado una bofya bofya tu......Kutoka kushoto kwenda kulia ni AllyLuna,Dumi utamu,
Rama Tonser,Emma Platnum,Qboy Msafi,Mucky wa Makomando,
Uncle Salu & Uncle yake Penny,Mickie

Qboy akiteta jambo kwa umakini kabisa na Mucki.....From Left,Uncle Salu,Penny & My Blood Cuzin Rommy Jones...

bado dakika kadhaa tushuke ulingoni...hahahaTukiwa tumekusanyika kwa pamoja tayari kupata IftarUncle Mickie,Never shake never Die....!!

Hapana chezea MAHANJUMATI haya
bhana yaliyopikwa yakapikika....

Time hii amna stori ni mikono na midomo inacheza tu stori baadae...Mwasiti nae alikuwepo.......Hamza Bala nae hakukosekana....
Weee sibanduki hapa kabisa ni kung'ata ng'ata tu.....Dumi mwenye utamu wake.....Darleen,Mwasiti & Recho...

Penniel na Mama Naseeb....Bi Sandrah akisema jambo na mabinti zake....

Taratibu watu wakifinya kuweka matumbo sawa baada ya masaa 12 ya fungo....
Njooo na wewe tujumuike ama niniii..? 
"Hii ni Siku Chache kwenye Iftar yangu na Familia kwa ujumla na watu  wangu wa karibu sana na wanamuziki wenzangu
niliowaalika kuja kufturu nasi kifamilia zaidi maeneo ya 
sinza kwa Mama Naseeb....
Kama tunavyojua wote tu katika mfungo wa ramadhani,kumuomba
mwenyezi Mungu aturehemu na kutuepushia
na mabalaa yote na kufanya wepesi katika kila jambo la mwanadamu.....
Nilifurahi sana kujumuika pamoja na wenzangu kwenye Iftar hii......
Kiukweli tunajikuta tukifurahi kwa pamoja,kukumbushiana ya

 zamani,stori za hapa na pale ata kuzungumzia kazi kadhaa wa kadhaa.....
Natanguliza shukurani za pekee kwa Mwenyezi Mungu kwa
kuweza kufanikisha mkutanisho huu na kuweza kutuweka
salama.....
Hizi picha ni kwaajili yako wewe shabiki wangu kuweza kuona kile
ambacho nakuelezea hapo juu kwenye picha..."