Blogger Widgets

July 24, 2013

Check Picha Jinsi Bikira Maria Alivyotokea Watu Kwenye Hili Kanisa.KAMA UTANI VILE

bikira maria Picha juu ni ya Kanisa la Kikatoliki la Saint Benedict, lililopo Ubiaja, Esan Kusini Mashariki ya Jimbo la Edo nchini Nigeria.
Waumini wa Kanisa hilo wanasema kwamba waliiona kitu kinachofanana na Bikira Maria kwenye ukuta wa Kanisa hilo mnamo siku ya Jumapili July 21.
bikira maria.2Waumini hao walifanikiwa kuchukua picha....
Je unaiona? Je inahitaji maelezo ya ziada juu ya hili?
Angalia na picha hapo juu...?
From:BongoClan