Blogger Widgets

July 16, 2013

Check Picha Mbalimbali Jinsi Leo Msanii Lulu Alivyokabidhiwa Tuzo Yake Ya ZIFF Kwa Mbwembwe NyingiHatimaye Lulu amepokea ile tuzo yake aliyo shinda kweye ZIFF kule Zanzibar kama msanii bora wa kike katika filamu za kiswahili. Hongera sana Lulu keep up the good work.