Blogger Widgets

July 25, 2013

Check Picha Mbalimbali za Ajari Iliyotokea Hispania na Kuua Watu Zaidi ya 70

Ajali mbaya ya treni iliyotokea Kaskazini Magharibi mwa Hispania imesababisha vifo vya watu 77 na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa. Ajali imetokea kwenye mkoa wa Galicia na treni ilikuwa na abiria 218.
Baadhi ya majeruhi Baadhi ya majeruhi
Majeruhi Majeruhi
Shughuli za uokozi zikiendelea 
Shughuli za uokozi zikiendelea
Mabehewa yote nane ya treni hiyo iliyokuwa ikitokea Madrid kwenda Ferrol yameanguka karibu na jiji la Santiago de Compostela. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.
spain-train-9_2626778b
spain-train-10_2626793k
spain-train-11_2626794k
spain-train-12_2626795k
spain-train-13_2626796k
spain-train-14_2626797k
spain-train-15_2626798k
spain-train-night-_2626786k
spain-train-night_2626787k
Hata hivyo maafisa wa serikali wanasema wanaamini hiyo ni ajali tu.
Tayari miili 73 imeshatolewa kwenye eneo la ajali wakati wanne wengine walifariki wakiwa hospitali.