Blogger Widgets

July 24, 2013

Check Picha ya Mtoto Aliyezaliwa Nchini India Akiwa na Mkia na Anaabudiwa Kama Mungu

image
Huyu kijana wa miaka 12 mwenye mkia anasujudujiwa kama mungu huko india. Wafuasi hujaa kwenye hekalu la Arshid Ali Khan na huwacha fedha au zawadi ili wapate baraka kutoka kwa huyu dogo, Pia huyu dogo..

Huaminika  kama mungu kima wa kihindu Hanuman lakini madaktari wanasema ana ‘Meningocele” hali inayofanya uti wa mgongo ukue tofauti.

image
Na huyu ndo kima mungu ambao pia watu wa India huwa wanamuabudu..
image
                                                  Mungu kima hanuman
image
Balaji anaeishi na babu na bibi yake alisema “napenda mkia wangu. Ni zawadi toka kwa Mungu. Ni tofauti lakini watu huniheshimu na kuinama mbele yangu sababu yake. Najiskia wa tofauti”

Madaktari wanasema mkia huo usipoondolewa Miguu na mikono ya Balaji iliyojikunja huenda ikawa katika hali mbaya zaidi.