Mwanamke mmoja amejikuta akimwaga machozi baada ya kumpoteza mwanaye dakika chache baada ya kujifungua....
Tukio hilo lilitokea siku ya jumatatu katika hospitali ya Kargo nchini Nigeria...
Taarifa zinadai kuwa mwanamke
huyo ambaye ni mkazi wa kijiji cha SabonIcel alijifungua mtoto
wa ajabu anayefanana na Nyani, hali iliyomfanya afariki dakika
chache baada ya kuzaliwa
Daktari aliyehusika na kumsaidia
mwanamke huyo anadai kwamba, mwanamama huyo alifikishwa
hospitalini hapo majira ya saa moja na nusu asubuhi na kwamba
tahadhari zote za kitabibu zilizingatiwa kama kawaida.
Kilichowashangaza ni sura ya mtoto aliyezaliwa,nusu alikuwa binadamu na nusu nyingine alikuwa ni nyani.
Daktari huyo anadai kwamba mtoto
huyo alikuwa na uzito wa kilo 4 na kwamba alifariki dunia
dakika chache baada ya kuzaliwa
No comments:
Post a Comment