Blogger Widgets

July 25, 2013

Check Tukio la Kuchekesha Tanga Baada ya Gari La Maziwa Lilivyotaka Kupundika na Maziwa kuanza Kumwagika

SONY DSC  
Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakikinga maziwa kwenye kontena la kampuni ya maziwa ya Tanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo kuchomoka na kuacha njia eneo la ubungo mataa  leo Julai 24, 2013.likitokea Mkoani Tanga hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo.
SONY DSC SONY DSC
Kila siku tunanunua: Ustadhi naye akijipatia maziwa bila kujali yana usalama au hapana
SONY DSC SONY DSC
Jeshi la polisi likiwa kwenye eneo la tukio.
SONY DSC
Kichwa chenye namba za usajili T 787 AFX lilobeba kontena la maziwa likiwa pembeni ya barabara mara baada ya kuacha njia likitokea Mkoani Tanga