Blogger Widgets

July 28, 2013

Diamond Platnum na Romie Jones Waonesha Jinsi Walivyokuwa Ndugu wa Damu Toka Utotoni
IMG_0042
Diamond Platinumz ametoa picha nyingine ambayo inawaonyesha yeye na ndugu yake Romie Jones wakiwa wadogo,  kuna picha kadhaa ameshawahi kuzitoa na zilionekana hapahapa millardayo.com. ambapo leo icheki hii picha tena kwenye enzi zao za utotoni wakiwa na baiskeliya kitoto ambayo ni moja ya vitu vikubwa sana kwa mtoto kuwa nayo kwa kipindi hicho, kwa wale mliokuwa nazo kama hizi BMX najua tunaelewana… ilikua nomaa
diamnd
Diamond ni huyu wa katikati, Rommy Jones ni huyu wa mbele
rommy &diamond

Hii ni picha nyingine ambayo waliwahi kuitoa pia