Blogger Widgets

July 8, 2013

Happy Birthday Masai Nyotambofu.And This Happed Kwenye Birthday Yake


Nimeamua kuja kijijini kusherekea siku yangu ya kuzaliwa pamoja na masabiki wangu wa huku maeneo ya kwadikwazu! Mwakani mwenyezi mungu akiniweka hai na afya njema tena ntaenda kijiji kingine.
Nakata keki nile na masabiki wangu
Nimekazwa kukata na sime najaribu kukata na kisu sijui atawesekana?..