Na Gladness Mallya
STAA
wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ ameomba pambano la
ndondi dhidi ya Jacqueline Wolper ili waweze kumaliza ubishi wa bifu
lao.
Akipiga
stori na paparazi wetu mapema wiki hii, Baby alisema amechoshwa kusikia
tambo za mpinzani wake huyo hivyo kama kweli ni mwanamke, wakutane
ulingoni ili amuoneshe cha mtema kuni.
From:Global Publisher
No comments:
Post a Comment