Blogger Widgets

July 29, 2013

Hivi ni Baadhi ya Sehemu za Mwili za Elizabeth Lulu zilizomfanya Producer Nisher Kufunguka LiveProducer wa video za muziki Tanzanzia kutoka Arusha, Nisher, leo hii ameamua kumwaga sifa za kutosha kwa muigizaji Elizabeth Michael (Lulu), kupitia mtandao wa Instagram.Nisher amesifia baadhi ya viungo vya mwili vya dada huyo, kama zegembe, miguu, macho pamoja na smile yake.
Kwa mua mfupi tangu alipoingia kwenye utengenezaji wa video, Nisher amefanikiwa kutoa video kali kama "Mama yeyo" ya G Nako feat Ben Pol pamoja na "Jikubali" ya Ben Pol ambayo imefanikiwa kuchezwa kupitia kituo cha Televishen cha South Afrika "Channel o"