Blogger Widgets

July 17, 2013

Kikubwa Kinachokuja Baada ya Lulu Elizabeth Michael Kuchukua Tuzo ya ZIFF.


Baada ya kujinyakulia tuzo ya msanii bora wa kike kutoka Zanzibar International Film Festival 2013 (ZIFF) kupitia filamu ya woman of principle, Elizabeth Michael aka Lulu anatarajia kuja na filamu yake mpya itakayoitwa “foolish age”.
Kupitia filamu ya woman of principle, Lulu alijiongezea umaarufu na kuonyesha uwezo mkubwa wa kushirikiana na mastaa wa kubwa kama Ray na Nargis. Foolish age itajaa mastaa mbalimbali wenye uwezo mkubwa wa bongo movie.
Lulu bado ajafunguka sana kuhusiana na location ya foolish age wala tarehe itakayo dondoka sokoni.

From:Baab Kubwa